Wednesday, September 18, 2013

JE?UNAMFAHAMU MNYAMA HUYU?.

Mnyama huyu Anaejulikana kama KAKAKUONA huwa ni nadra sana kutokea katika jamii ya watu na akionekana basi kitendo hicho cha kuonekana kwake hutafasiliwa kama ni Bahati au Kunakitu kibaya kitatokea.

Mara nyingi akionekana inaweze kutafasiliwa kuwa kutakuwa na mvua za kutosha na Mara nyingine akitoke utafasiliwa kuwa kunaweza kutokea Njaa sana hayo yote ni Imani katika jamii zetu za kiafrika.Lakini hayo yote tuyaweke kado kubwa ni kwambwa kumbe Mnyama huyu Chuchu zake (Matiti yake)hayana tofauti sana na ya Binadamu tazama picha...!!


No comments:

Post a Comment