Saturday, September 28, 2013

SERIKALI YAFUNGIA MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA

Taarifa ambazo zimepatikana hivi punde ni kwamba Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania yamefungiwa na Serikali kutokuchapisha nakala zao za kila siku kwa siku kadhaa habari zilizopo ni kwamba Gazeti la Mwananchi limefungiwa kwa siku 14 wakati lile la Mtanzania limefungiwa kwa siku 90......!!!

No comments:

Post a Comment