Wednesday, October 2, 2013

MATOKEO YA KLABU BINGWA ULAYA,CHELSEA 4-0 STEAU BUCHAREST, ARSENAL 2-0 NAPOL

Timu mbili za Wingereza zimeibuka na ushidi katika michezo yao ya klabu bingwa ulata baada ya kutoa vipingo dhidi ya wapizani wao Timu ya Chelsea ilikuwa ugenini kuikabili timu ya Steau Buchares5t matokea ya mchezo huo ni Vijana wa JOSE MOURINHO waliweza kuibuka na ushindi wa magoli 4 magoli mawili ya Ramires aliyoyafunga dakika ya 19,55 GEORGIEVSK alijifunga kwenye dakika ya 44 na LAMPARD alifunga kwenye dakika ya 89.

Kule kunako uwanja wa Emilates vijana wa ARSENAL wameonyesha wao msimu huu ni moto wa kuotea mbali baada ya kutoa kipigo kwa NAPOLI inayofundishwa na RAFAEL BENITEZ kwa kuifunga magoli mawili magoli yaliofungwa na MESUT OZIL na OLIVER GIROUD.

 

 


No comments:

Post a Comment