Friday, November 22, 2013

KUNANI CHADEMA!!ZITTO KABWE NA DR.KITILA MKUMBO WAVULIWA VYEO VYAO NDANI YA CHAMA.

Habari ambazo zimepatikana kutoka katika Kikao cha kamati kuu kinachoendelea katika ukumbi wa Jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ni kwamba Baadhi ya  viongozi katika Chama Ngazi ya Taifa wamevuliwa nyazifa zao walizonazo ndani ya Chama hicho.

Habari zinadai kwamba Waliovuliwa vyeo ni Zitto Kabwe, ambaye amevuliwa nafasi ya Naibu Katibu mkuu wa chama pamoja na nafasi ya naibu kambi rasmi ya upinzani bungeni, Dr. Kitila Mkumbo yeye amevuliwa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu.

 

Habari zaidi zitakujia hivi Punde mara wahusika watakapo patikana au tamko la chama hicho litakapo tolewa.........endelea kufatilia


No comments:

Post a Comment