Tuesday, February 4, 2014

CHELSEA KIDUME KWA MAN CITY YAIFUNGA GOLI MOJA TU.

Timu ya Chelsea imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 0 dhidi ya Timu ya Machester City katika mchezo uliokuwa wa kusisimua sana uliopigwa kwenye majira ya saa 5 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.Goli hilo lilifungwa na Ivanovic kwa matokea hayo Chelsea imebaki nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu wakiwa na point 53 sawa na Machester City wenye Point 53 lakini wanamagoli mengi kuliko Chelsea na walioko kileleni ni Arsenal wenye Point 55.

 Picha zaidi zinzfuata........


No comments:

Post a Comment