Monday, February 3, 2014

MACHESTER CITY VS CHELSEA NANI ATAIBUKA MSHINDI?MATUKIO YOTE HAPA KABLA NA BAADA YA MCHEZO.

Kwa wale wafatiliaji wa ligi kuu ya wingereza leo majira ya saa 5:00 Usiku kwa Saa za Afrika mashariki kutakuwa na mchezo wa kusisimua utakao wakutanisha vijana wa Jose Mourinho na wale wa Manuel Pellegrini katika uwanja wa Etihad endelea kufatilia hapapa matukio yanayoendelea kabla ya mechi......


No comments:

Post a Comment