![]() |
| Mwakilishi wa Papa akiwa na Askofu Lebulu akitoka kwenye VIP ya Arusha Airport kuelekea kwenye ndege. |
![]() |
Hapa akisaidiwa na wafanyakazi kukamilisha dokomenti zake za Usafiri, huku ulinzi ukiwa tight! |
![]() |
| Kwaheri Mtumishi wa Mungu, tunaomba uje tena tutakapoamua kuzindua upya Parokia Yetu ya Yosefu Mfanyakazi- Olasiti Arusha. |
![]() |
| Safari njema usiongope kurudi Arusha tena. |
![]() |
| Akiagana na waliomsidikiza. |
![]() |
| Akiingia ndani ya ndege tayari kwa kuondoka. |






No comments:
Post a Comment