Masikini mtoto kama huyu anakosa gani acheni ugaidi huo chonde chonde. |
Inasikitisha sana kwa vitendo vinavyozidi kushamili katika nchi ya Tanzania wakati toka zamani ilijulikana kama nchi ya Amani na salama lakini sasa matukio haya yenye viashilia vya udini ni mabaya serikali tunawaomba mshugulikia hari hii na msipuuze taarifa mnazopewa kutoka kwa watu wenye mapenzi mema na taifa hili.
Tupe maoni yako hapa bpromas@outlook.com kuusiana na hili swala na moja kwa moja tutayafikisha kwa wausika.
No comments:
Post a Comment