Tuesday, September 10, 2013

ETOO KWENYE MAZOEZI YA CHELSEA KWA MARA YA KWANZA.

Mazoezi ya Timu ya Chelsea yamemalizika mda mfupi uliopita katika uwanja wao wa mazoezi wa Cobham kwa huku londan ambapo yalikuwa ni ya  kwanza kabisa kwa Mchezaji Samwel Etoo baada ya kusajiliwa na timu hiyo na hayo yalikuwa ni mazoezi kwa wachezaji wote baada ya kupisha Mechi za kimataifa katika nchi zao kuwania kufuzu kombe la Dunia Mwakani nchini Brazil na habari nzuri kwa watu wa chelsea ni kwamba Juan Mata sasa asilimia 100 amepona kabisa maumivu yaliokuwa yakimkabili.


No comments:

Post a Comment