In some cultures, it wouldn't be considered strange for a mother to take care of her son for 40 years. However, it might seem a little weird if he were dead for almost two decades.After Joni Bakaradze died at age 22, his family in the Eurasian country of Georgia decided against interring him, and instead preserved his body as a mummy for 18 years. His mother, Tsiuri Kvaratskhelia, told Georgia News that the decision was made so that her son's child could "see what kind of father he had."Bakaradze's body has been kept in a coffin with what appears to be a viewing window. Kvaratskhelia told the station that the family at first used traditional methods, including balsam sap, to preserve the body. More recently, she claims to have switched to spirits -- and we're not talking spells and incantations."I had a dream once. Somebody was telling me to wake up and start using vodka to care for the body," Kvaratskhelia said in an interview. "I have been using... spirit liquid poultices since then. You must not leave the body without them during [the] night, because it will turn black."Mummification is perhaps best known as a burial practice of the Ancient Egyptians, but other cultures in South America and Asia have practiced it throughout history.In 1920, the body of Rosalia Lombardo, a 2-year-old Italian girl who died of the flu, was ordered preserved by her grieving grandfather. Although it began to show some signs of discoloration recently, the girl's body remains remarkably preserved.**************
Mama ambaye mtoto wake wa kiume
alifariki miaka 18 iliyopita amemuhifadhi katika pombe na kuficha mwili wake
kwenye sehemu ya chini ya makazi yake ambako amekuwa akimhudumia muda
wote tangu wakati huo... yote hayo ili kijana wake aweze kuona anavyompenda.
Tsiuri Kvaratskhelia ameuhifadhi
mwili wa Joni Bakaradze uliozikwa ndani ya jeneza la mbao sambamba na nyumba
hiyo ya familia mjini Georgia, mashariki mwa Ulaya.
Lakini licha ya kuwa amekufa mwaka
1995, mwili wa kijana huyo mwenye miaka 22 umebaki ukiwa umekaushwa damu
kikamilifu, shukrani kwa mama yake aliyeonesha mapenzi ya kweli na uangalizi wa
karibu.
Na kila mwaka katika maadhimisho
ya siku yake ya kuzaliwa mama huyo amekuwa akimbadilisha nguo - hadi miaka
minne iliyopita pale uozo hatimaye ulipofanya kazi hiyo kushindikana.
"Alitaka mtoto wake kumwona
kwa namna hiyo," alielezea. "Naamini kutokea hapo mtoto huyo alianza
kumpenda baba yake."
Pia kuna dirisha dogo la kutazamia
kwenye sehemu hiyo ya chini hivyo familia, marafiki na wapita njia wanaweza
kuona jinsi anavyoendelea.
Mama Kvaratskhelia amejifunza
zaidi kuliko mbinu chache kumfanya mtoto wake huyo awe na mwonekano mzuri.
"Usiku mmoja niliota pale
sauti fulani iliponieleza kumshughulikia Joni kwa kumwagia pombe hivyo kutokea
hapo nimekuwa nikitumia mashuka yenye unyevu yaliyozamishwa kwenye pombe
kuhifadhi mwili wake," alisema. "Hutakiwi kuuacha mwili huo bila
mashuka hayo wakati wa usiku sababu ngozi itabadilika na kuwa nyeusi kama makaa
ya mawe."
Aliongeza: "Kwa miaka 10
nimekuwa nikimbadilisha nguo zake wakati wa maadhimisho ya siku yake ya
kuzaliwa. Miaka minne tu iliyopita ndio sikuweza kufanya hivyo.
"Alikuwa mtu safi, mume
mwema, si kama hivi alivyo sasa."
Lakini sasa Joni, ambaye sababu za
kifo chake hazijafahamika, hatimaye anaanza kuharibika tangu maradhi kumzuia
Mama Kvaratskhelia kumpatia matunzo ya kila siku anayohitaji.
"Nilikuwa naumwa hivi
karibuni na sikuweza kuhudumia mwili wake," alisema. "Hiyo ilikuwa na
athari kwake.
"Mtoto wangu ni anavutia.
Nitakapoanza kutumia mashuka hayo ngozi yake itakuwa angavu tena na kila kitu
kitakuwa kama kawaida."
|
Wednesday, September 11, 2013
MAMA MMOJA AIFICHA MAITI YA MTOTO WAKE KWA MIAKA 18 KISA ANAMPENDA SANA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment