Monday, October 7, 2013

JENGO LA TTCL DAR ES SALAAM BAADHI YA GORAFA ILIKUWA INAWAKA MOTO

Kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam hasa wale wanaowahi makazini asubuhi na kupita karibu na jengo hili katika picha asubuhi kulikuwa na moto uliokuwa ukionekana kuwaka katika moja ya gorofa juu na sababu ya moto huo bado aijafahamika tutaendelea kuwajuza kadli watu wetu watakapo fika kwenye eneo la tukio....


No comments:

Post a Comment