Tuesday, October 8, 2013

UNAKUMBUKA HABARI YA DADA HUYU KUMWAGIWA ACID SASA AWEKEWA NYUSI MPYA.

Kama ni mfatiliaji wa habari na matukio mbalimbali yanayolipotiwa kwenye blog hii utakumbuka ilikuwa ni Tarehe 1 mwezi wa 2 mwaka 2013 ndipo  tulipolipoti habari ya Dada huyu Raia wa Nigeria NAOMI ONI alipomwangiwa Acid na mtu ambae akujulikana, mtu aliye mmwagia acid alikuwa kavaa vazi la hijab Dada huyu alikutana na mkasa huo alipokuwa akilejea nyumbani kutoka katika kazi zake Jijini LONDON ndipo tukio hilo lilipo mkuta.Picha tatu za juu  ya kwanza kabla ya tukio hilo ya pili baada ya tukio hilo na ya tatu ndio muonekano wake kwa sasa baada ya kufanyiwa upasuaji wa sura yake na kuwekewa nyusi mpya tazama picha hapa chini alivyo kwa sasa......

Tuliahidi kuleta muendelezo huu wa tukio hili na sasa ahadi yetu tumeikamilisha na bado kuna matukio mengine tunayoendelea kuyafatilia hili kukamilisha muendelezo wa matukio yote tunayowaletea.


No comments:

Post a Comment