KUNA MATUKIO YA SITOFAHAMU JIJINI MBEYA KATI YA WAFANYA BIASHARA JIJINI HUMU NA MAMLAKA YA MAPATO (T.R.A) KUHUSIANA NA MATUMIZI YA MASHINE ZA T.R.A HALI HIYO IMEPELEKEA MDA HUU FUJO KUTOKEA NA KUPELEKEA POLISI KUINGILIA KATI KWA KUPIGA MABOMU YA MACHOZI PICHA ZAIDI NA HABARI KUTOKA KWA JESHI LA POLISI JIJINI MBEYA NA OFISI ZA T.R.A MBEYA BAADA YA MDA MFUPI MARA TU WASEMAJI WA MASWALA HAYA WATAKAPO PATIKANA .......!!!
|
No comments:
Post a Comment