Friday, February 15, 2013

TAZAMA PICHA HIZI ALAFU TOA MAONI YAKO.

Kumbuka unapotoa maoni yako tunaomba uelewe kilichotokea kule Geita kati ya waislam na wakiristo kuusiana na swala la nani ana haki ya kuchinja katika machinjio sasa iyo ali inaweza kupelekea kuwa na mabucha kama haya sehemu mbalimbali za nchi yetu?TUNAWAOMBA WATANZANIA TUISHI KWA AMANI NA TUPENDANE TUKIWEKA MASWALA YA DINI KATIKA MAMBO YA KIJAMII YATATUPELEKA PABAYA MH.WAZIRI WA MAMBO YA NDANI UKO MKOANI GEITA KUTATUA TATIZO TUNAOMBA UFANIKIWE NA WATU WAKAE KWA AMANI.

No comments:

Post a Comment