Saturday, March 2, 2013

ATAKA KUTOLOKA GEREZANI AKIWA NDANI YA BEGI.

HUYU NDO MFUNGWA ANAETUHUMIWA KWA MAUAJI AKIWA NDANI YA BEGI KABLA AJASHITUKIWA.
HILI NDO GEREZA ALILOKUEMO MTUHUMIWA
Jamaa mmoja anaetambulika kwa jina la GAVINSON GARCIA ambae anakadiliwa kuwa na ulefu wa futi 5 na nchi 3 amekutwa katika begi akitaka kutoloka Gerazani alipokuwa akizuiliwa kwa kosa la mauaji nchini Venezuera Caracas katika jela ya Yare II.

No comments:

Post a Comment