Monday, March 4, 2013

PICHA ZA MATUKIO KINACHOENDELEA KENYA KATIKA UCHAGUZI MKUU.

HUYU NDO MTOTO ALIEZALIWA WAKATI MAMA AKE AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPIGIA KURA HUKO MUTHURWA.
WAZEE WAWILI WKIENDA KUTIMIZA HAKI YAO YA KUPIGA KURA KATIKA JIMBO LAMACHAKOS.
Msalia mdavadi aki vote
PICHA INAJIELEZA.
MISURULU ILIONEKANA KATIKA VITUO
LEO BLOG HII INAPOANDALIWA LAPTOP ZETU ZIKO BIZE SANA MTATUSAMEHE TUKIWA TUNACHELEWA KU EDIT HABARI KUTOKA KENYA.
Rais Mwai Kibaki akipiga kura yake ya amemchangua nani anajua yeye.
BI CHARITY NGILU AKIPIGA KURA YAKE.
"MUZUNGU"NI MZUGU NYIE WAKENYA AKIWA NAE KWENYE FOLENI YA KUPIGA KURA.
Pia kumbuka wakati ukiendelea kufuatilia matukio mbalimbali yanayojili nchini kenya katika uchaguzi mkuu Usisahau kuwa kuanzia saa 6 mchana saa za Afrika mashariki ule mchakato wa kumpata Papa mpya utafunguliwa rasmi hii leo picha na habari zitakujia mara tu utakapo anza moja kwa moja kutoka vatican endelea kufuatilia.....................
HII NI MOJA YA ELKOPTA YA KITUO CHA HABARI CHA K24 KATIKA HARAKATI YA KUPATA HABARI TANZANIA TUNAOMBA VITUO VYETU NAVYO 2015 VIJIPANGE. 

No comments:

Post a Comment