Wednesday, March 20, 2013

TANZANIA NAYO AIKUWA MBALI KWENYE SHEREHE ZA KUAPISHWA PAPA.

Hizo hapo juu Picha ambazo Bendera ya Tanzania inaonekana ikipeperushwa kati ya Bendera nyingi za mataifa mbalimbali duniani. Watanzania walikuwepo wakituwakilisha kama Taifa, na tujuavyo Bendera ya taifa ni kitambulisho rasmi cha taifa. Tukio hili la kimataifa na lajumuisha mataifa mbamali na kila taifa linajivunia utaifa wake kati ya mataifa mbalimbali duniani.

No comments:

Post a Comment