Sunday, March 17, 2013

WANACHAMA SIMBA WAUHONDOA UONGOZI WA ISMAIL ADEN RAGE.

Mambo katika Timu ya simba sasa yanazidi kwenda mlama mara baada ya wanachama walioitisha mkutano wa dhalula kukubaliana kuundoa uongozi mzima uliokuwa chini ya mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Ismail Adeni Rage.Kwa sasa Timu itakuwa chini ya Malikia wa nyuki kama wanavyomuita wenyewe Mama Rahma AL Khroos, akisaidiana na  Hans Pope.

No comments:

Post a Comment