Wednesday, March 27, 2013

WATU WANGU WA MAN U PATA PICHA TATU ZA OFISI YA SIR ALEX FERGUSON.

Hizi ndizo picha tatu za ofisi ya kocha wa Timu ya Machester United Sir Alex Ferguson inavyoonekana ukiwa unaendelea kutazama ngoja nitafute za makocha wetu wa  SIMBA NA YANGA  nikizipata naziweka hapahapa.

Kwa maoni ushauli tukio lenye picha habari tutumie na tuandikie kupitia bpromas@outlook.com ....!!!

No comments:

Post a Comment