Thursday, March 28, 2013

MNAKUBUKA ILE HABARI YA DOGO ALIEFUNGA NDOA NA MAMA WA MIAKA 61 CHEKI MAISHA YAO NYUMBANI..

Ni karibu wiki mbili zimepita toka tulipoti habari za mtoto wa miaka  8 kufunga ndoa na Mwanamke wa miaka 61 sasa tuliendelea kufuatilia suala hilo maisha yao yakoje na hizi ni picha baada ya ndoa.
HII ILIKUWA NI SIKU YA KUFUNGA NDOA NAFIKILI HUKIONA PICHA HII UTAKUMBUKA ILE HABARI KAMA UKUISOMA HIPO HAPA NENDA OLDER POST UTAIKUTA.
HAPA MME NA MKE WAKIPATA MSOSI KATIKA HAPA KAKOSEKANA MTOTO TU WALE WANAOJUA AINA ZA FAMILIA MTATUAMBIA HII NI AINA GANI YA FAMILIA .
BAADA YA CHAKULA ALICHOANDALIWA NA MKE WAKE MICHEZO KAMA KAWAIDA MAISHA YANAENDA.
 maoni na picha na matukio yanayojili  ukipenda jamii kuyajua tuandikie na tutumie kupitia bpromas@outlook.com.

No comments:

Post a Comment