Saturday, March 30, 2013

LIVE MAHAKAMA KUU KENYA UHURU KENYATTA....

Hatimae sasa Uhuru kenyatta ndio rais wa kenya baada ya mwai kibaki hukumu yatolewa mda mchache uliopita.Majaji sita waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo ya kihistoria nchini kenya wamesema Uchaguzi huo ulikuwa wa huru na haki.

Wakati huo huo aliekuwa mgombea wa urais ndugu Raila Odiga mda mchache ujao atazungumza na waandishi wa habari Nyumbani kwakwe je?atasema nini endelea kufuatilia hapa hapa....!!!

Tarehe 9 mwezi wa nne ndo siku rais mteule wa kenya ataapishwa rasimi iyo tumewapa mfahamu wasomaji wetu!

Mda mchache Raila Odinga amezungumza na waandishi wa habari na kusema anamtakia Uhuru kenyatta na Makamu wake kazi njema ya kuliongoza taifa la kenya na amehaidi kufanya kazi na wakenya ili kuendeleza maendeleo ya wakenya na kenya ilio imara.! 

ushauli maoni picha usisite kututumia kupitia bpromas@outlook.com tunawatakia sikuku njema ya Pasaka wewe jamaa na marafiki na familia yako pia.heri ya pasaka......!!

 

No comments:

Post a Comment