Tuesday, April 2, 2013

MWANAMKE MFUPI KULIKO WOTE DUNIANI AISHANGAZA DUNIA TENA KWA UJAUZITO.

Alipokuwa na mtoto wake wakwanza kujifungua .
Akicheza na mtoto wake kabla ya kujifungua.
AKIWA KATIKA CHUMBA CHA UANGALIZI MAALUMU MAARUFU KAMA ICU.
akiwa na mme wake hospital.

Picha nne hapo juu zinamuonyesha Mwanamke mfupi kuliko wote Duniani alipokuwa hospitali baada ya kuwa mjamzito.

Mwana mama huyo Herald aliwashangaza madakitari mara baada ya kugudulika ni mjamzito huku tayari alikuwa kapewa onyo la kutobeba mimba kutokana na umbo lake lilivyo kwani anaurefu wa futi 2 na nchi 4 uku mme wake ana urefu wa futi 5 na nchi 9.

No comments:

Post a Comment