Tuesday, April 2, 2013

NAMTAKA MKE WANGU GEREZANI!!!!

 

Simon Mwangi mwaka jana alitokelezea sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari baada ya picha zake kusambaa akiwa hospitalini Nyeri baada ya kukatwa katwa mapanga na mke wake sasa ameibuka tena na kutaka sheria ifate mkondo wake kwa mke wake....kesho fatilia simulizi hii maana wataalam wetu wa lugha wanaiweka katika kiswahili ili uielewe vizuri mwanzo mwisho..!!!

 

Huyu ndo mke wake.

No comments:

Post a Comment