Friday, April 5, 2013

KOREA KUSINI NA KATUNI YA RAIS WAO.

Mitandao ya kijamii ya korea kusini imeingiliwa na watu wasiojulikana maarufu kama "hacked"na kuwekwa picha za ziaka za rais wao wakati kunakutoelewana kati ya Taifa ilo na Marekani sasa sijui kwa kitendo hiki itakuaje ebu nawe kuwa wa kwanza kucheki picha hizi.

No comments:

Post a Comment