Friday, April 5, 2013

PICHA 41 BINADAMU KABLA UJAFA UNASHAULIWA KUFIKA NA KUONA MAAJABU YAKE.

Picha hizo ni sehemu ya picha 41 Duniani ambazo kwa mujibu ya wataalamu Binadamu kama huko hai na unauwezo wa kufika katika sehemu hizi basi unashauliwa uzitembelee kabla mwenyezi Mungu ajakuita mbele ya haki kutokana na matatizo ya mtandao maelezo ya picha hizi na nyingine zikiwemo na mbuga zetu zitakujia badae endelea kutazama Mungu ni wa ajabu sana.

No comments:

Post a Comment