Sunday, June 23, 2013

AJIFUNGUA MTOTO MWENYE MKIA.

Mama wa mtoto akiwa amembeba mwanae.
Jinsi mkia unavyoonekana
Urefu wake ni sentimita 10 na ukubwa wa nchi 3 na unaendelea kukua.

 

Mama huyo raia wa China XIAO Wel amejifungua Mtoto mwenye mkia,Mama huyo anawaomba madakitari kuweza kumsaidia mtoto wake waweze kumondolea mtoto wake mkia ambao unaendelea kuzidi kukua.



No comments:

Post a Comment