Sunday, June 23, 2013

NANI KASEMA MPIRA AFRIKA MASHARIKI HAULIPI? HUU NDO MJENGO WAKE..

Andrew Mwesigwa.

Mchezaji wa Timu ya taifa ya Uganda (Uganda Cranes) Andrew Mwesigwa amefanikiwa kumaliza kujenga Mjengo unaoonekana katika picha kwa ajili ya uwekezaji wa kupangisha katika eneo la Namungoona-Kampala na kuwataka wachezaji wezake wa Afrika mashariki kuwekeza katika miradi mbalimbali katika nchi zao na hiyo ni changamoto kwa Wachezaji wetu Tanzania nao kuiga kitu kama hichi kilichofanywa na Andrew Mwesigwa.

 


No comments:

Post a Comment