Wednesday, June 5, 2013

HIKI NDICHO CHAMA KIPYA CHA SIASA TANZANIA.(CHAUMMA)

Msajili wa vyama vya siasa Tanzania John Tendwa amekipa usajili wa kudumu chama cha siasa kitakacho julikana kama CHAUMMA na kufanya idadi ya vyama vya siasa nchini Tanzania kufika 21.

No comments:

Post a Comment