Wednesday, June 5, 2013

SIO MWIZI BALI NI MBAKAJI ISOME HABARI HII.

Imelipotiwa kwamba mkazi mmoja wa Mwangata katika Manispaa ya Iringa amenusulika kuuwawa na watu wenye asila kali baada ya kukutwa akimbaka binti wa miaka kumi mtuhumiwa huyo amefikishwa katika kituo kikuu cha polisi Iringa.

No comments:

Post a Comment