Thursday, July 4, 2013

50 CENT HATARINI KWENDA JELA.

Mwanamziki 50 Cent huwenda akakumbwa na adhabu ya kwenda jela baada ya kumshambulia Rafiki wake wa kike wa zamani imeelezwa kuwa Rapper huyo alietamba na wimbo wa In Da Club alivuja kioo cha Dilishani kwa mwanamke huyo na kuanza kumshambulia. amefunguliwa mashitaka kwa kufanya tukio hilo na iwapo atakutwa na kosa ilo msanii huyo ataukumiwa kifungo cha Miaka mitano jela na faini ya Euro 30.000 .


No comments:

Post a Comment