Thursday, July 4, 2013

RYAN GIGSS KATEULIWA KUWA KOCHA MCHEZAJI MAN U.

Mchezaji Ryan Giggs ameteuliwa kuwa Kocha mchezaji katika klabu ya Machester United uteuzi huo umefanyika hivi leo na kutaganzwa mda mchache ulipoita kwamba atakuwa akisaidiana na Kocha Mkuu David Moyes.

Amekuwa na United kwa misimu 23 akiwa ameichezea klabu hiyo tangu akiwa na umri wa miaka 14 amekuwa akisomea ukocha kwa muda mrefu ambapo tayari amepata shahada mbalimbali za UEFA huku akiwa anamalizia shahada yake ya mwisho ambayo ni UEFA Pro License .

No comments:

Post a Comment