Tuesday, July 2, 2013

BARACK NA MICHELLE OBAMA WAKI KISSES KWA MARA YA MWISHO WAKIWA TANZANIA.

Tabasamu Mama kwa Raha zako Umeipenda Tanzania na watu wake Unakalibishwa tena.

Rais Barack Obama akimkisi(kisses)mke wake Michelle Obama mda mfupi kabla ya kupanda Ndege Air Force One tayari kwa kuondoka baada ya kumaliza ziara yake nchini Tanzania


Tunashukuru kwa wote waliofatilia tulichokuwa tunapost toka alipo fika nchini Rais Barack Obama na hadi alipoondoka tunawashukuru wote kwenye Mapunguvu tulioyaonyesha tunaomba Mtusamehe sana  na maoni yenu pia tunayaitaji zaidi na zaidi ili tuweza kubolesha na kuongeza pale kwenye mapunguvu Maana bila nyie wasomaji wa Blog hii atutajua wapi kuna mapungufu ama wapi tuongeze maoni yako Tuandikie kupitia Bpromas@outlook.com na kaeni tayali ku LIKE page yetu Fecebook na kwenye Twitter kutu follow.

No comments:

Post a Comment