Tuesday, July 2, 2013

OBAMA ALIPOKUWA AKIONYESHA UFUNDI WA KUMILIKI MPIRA UBUNGO.

Baada ya kuonyesha ujuzi akakwea Air Force One kuludi US.
Ata za kichwa naweza JK vp wewe unaweza
Moja...2....3...4 wewe

Kwa vile naondoka ningekuwepo nigeomba tucheze kidogo ...

Kwa muonekano ni Mpira lakini ni Mpira ambao ukiuchezea kama hivyo ama kuundunda duda chini unakuwezesha kupata chaji na kuweza kuchajia vitu kama Simu n,k soma hapo chini....

 It looked like a soccer ball but has a hole for a charging cable. Obama took one and tossed it several feet in the air before upping the risk factor by letting the ball drop toward is feet. He kicked it back up into the air and topped even that by bouncing the ball off of his head, all while wearing a buttoned-up suit jacket and tie.
Obama's playfulness was part of a demonstration designed to show off an invention by two Harvard graduates that's seen as a way to help bring electricity to rural areas that don't have any. During the trip, Obama announced a U.S.-led effort to help bring electric power to large swaths of sub-Saharan Africa.

The SOCCKET ball has a pendulum-like mechanism inside that creates kinetic energy during play and stores it. Its maker says 30 minutes of play can power a simple LED lamp for three hours.

Hizi picha zimepigwa wakati Marais wote wawili wakiwa katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme Symbion Ubungo mda mfupi kabla ya kuondoka kurudi Marekani.

Popote ulipo usisahau bapromas.blogspot.com

No comments:

Post a Comment