Friday, July 26, 2013

CHINI YA KAPETI NI KWAMBA WAYNE ROONEY HUWENDA AKAVAA JEZI NO 23 CHELSEA

Ikiwa sasa hivi wapenzi wa soka Duniani hasa wale wanaofatilia soka la kingereza masikio yao ni kuhusu swala la mchezaji Wayne Rooney kuhusishwa na kuamia Timu ya Chelsea sasa habari hambazo zimetoka mda mchache kwa watu wanaofatilia swala hili kwa ukalibu zinadai kwamba tayari Clabu ya Chelsea imeanza kutengeneza Jezi namba 23 kwa ajili ya Wayne Rooney.Timu ya Chelsea chini ya kocha wao Jose mourinho inamtaka Rooney mwenye miaka 27 kwa hudi na uvumba katika msimu huu unaoanza mwezi ujao. Jezi namba kumi ambayo Rooney alikuwa akiitumia Man U Chelsea inatumiwa na Juan Mata,namba 23ndio iliyo wazi kwa biashara katika timu ya Chelsea maana ipo wazi kwa sasa baada ya aliekuwa akiitumia Daniel Sturridge kutimkia katika timu ya Liverpoor.Namba 23 pia iliwahi kutumiwa na kiungo wa England wakati huo David Beckham alipohamia katika Timu ya Real Madrid akitokea Machester United alipokuwa akivaa jezi na 7.Nje ya mpira wa Miguu Namba 23 pia ilikuwa ikitumiwa na Gwiji wa mchezo wa kikapu zamani Michel Jordan. Chelse imemaliza ziara yake Barani ASIA kwa ushindi wa magoli 8-1 dhidi ya Bni Indonesia All Star na sasa inaelekea marekani ambapo huko inaaminika ndiko Wayne Rooney huwenda narudia tena Huwenda akajiunga nao Tayari kwa mazoezi tusubili kuona nani anacheka katika swala hili la Wayne Rooney.




No comments:

Post a Comment