Friday, July 19, 2013

POLISI ASABABISHA MATATIZO KWA MAMA NA MTOTO WAKE.



Mama pamoja na Mwanae  katika picha wamefanyiwa Unyama huu sisi tunasema ni Unyama maana ilikuwa inaweza kuzuilika kabisa kutotokea madhara kama haya ili tukio limefanywa na Polisi unajua nini kilichompelekea kufanya hivyo na ni wapi limetokea ..........!!!!!! kaa tayari kupata Mkasa mzima mda mchache ujao hapa hapa mara tu wataalam wetu wakikamilisha mambo muhimu katika habari hii.. endelea kufuatilia Exculusive hii  hapa hapa Bapromas.blogspot.com



No comments:

Post a Comment