Friday, August 16, 2013

MTANZANIA MWINGINE TENA MARA HII MAREKANI:TANZANIAN ADMITS TO SMUGGLING HEROIN INSINDE LAPTOP.

Mtandao mmoja Nchini marekani umelipoti kuwa kijana wa kitanzania amekamatwa akiwa na heroin katika laptop yake iyo imetoke huku nchini Tanzania kwenyewe kukiwa na habari ya kukamatwa kijana aliekuwa akijalibu kusafilisha madawa ya kulevya kwenda Itali katika blog hii tumelipoti habari hiyo. Habari ya kijana wa Kitanzania aliekamatwa marekani hiyo hapo chini kama ilivyoandikwa kwenye mtandao wa Mercury News Tarehe 15/08/2013 mda wa saa 05:44:53 pm.


LOS ANGELES—A Tanzanian man faces up to 40 years in prison for trying to smuggle heroin into the United States inside a non-working laptop. City News Service reports 33-year-old Joseph Mackubi pleaded guilty in Los Angeles federal court Wednesday.
Customs inspectors at LAX noticed that Mackubi's laptop seemed unusually heavy when they conducted a secondary screening last October.
They tried to turn the laptop on and it didn't start. When they noticed the laptop appeared tampered with, they opened it and found 800 grams of heroin.
Mackubi, who traveled to Los Angeles from Nairobi, said he was going to meet a woman he met on the Internet in Alabama.
Several recent drug seizures at LAX involved Tanzanian smugglers who traveled a similar path.
Mackubi is due for sentencing Sept. 11.

No comments:

Post a Comment