Friday, August 16, 2013

LADY GAGA USIJE KUTUALIBIA DADA ZETU KWA KUIGA ILI VAZI LAKO.

Wasanii katika Dunia hii wanavituko sana angalia mavazi aliyovaa Msanii Lady Gaga siku chache zilizopita ni wito wetu kwa Dada zetu ambao wanasema Lady Gaga ndio kioo chao wanaita (rolly modo wao)wasije wakaiga hii kitu kisa tu kamuona huyo anaemuita rolly modo wake kavaa nae akafanya juu chini kuyapata na kuyavaa TUKUMBUKE SISI TUNAUTAMADUNI WETU NA MILA NA DESTURI ZETU KAMA WATANZANIA NA WAAFRIKA KWA UJUMLA, HILO NDO NENO LETU LA LEO KUTOKA HAPA BAPROMAS BLOG TUNAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA YA WIKI.


No comments:

Post a Comment