Thursday, August 1, 2013

TAZAMA PICHA HIZI WATU WANAOBEBA MADAWA YA KULEVYA TUMBONI(PICHA ZINATISHA)

Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda)  ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja  na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.

Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.
Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.
Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.
Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.
Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.
Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.
Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.
Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.
Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .

Tunaomba radhi kwa picha ulizozitazama hapo juu.

3 comments:

  1. HII NI HATARI NA INACHANGIWA NA MAMBO MAWILI HALI NGUMU YA MAISHA NA TAMAA YA MAISHA.WATU WANATAKA KUIWAHI RIZIKI KAMA IPO IPO,MWENYEZI MUNGU NDIYE MTOA RIZIKI,VIJANA TUSITUMIKE KAMA NGAZI YA KUWANUFAISHA WENGINE.YAANI KUNA UMUHIMU ZIKAWEKWA SHERIA KALI PALE MTU ATAPOBAINIKA KISHERIA ANAJIHUSISHA NA HII BIASHARA HARAMU,WAANGA WA HAYA MADAWA NI VIJANA AMBAO NI TAIFA LA LEO.HAWA WANAOFANYA HIZI BIASHARA HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI,MAANA WANAUWA NGUVU KAZI YA TAIFA.NAAMINI SERIKALI KUPITIA WIZARA HUSIKA INAWEZA KUBAINI WAHUSIKA.KWA KUANZIA KUWABANA WATUMIAJI WA HIZI DAWA HADI WAELEZE WANAPOZIPATA..MWENYEZI MUNGU TUOKOE NA HAYA MAJANGA.tunashukuru kwa elimu na taarifa uliyoitoa,nadhani hizo picha zinaweza kuwa kama funzo ili wapate hata uoga wakujihusisha na hizo biashara

    ReplyDelete
  2. kweli kuwa punda inaitaji moyo mgumu...du lakini vijana wa mjini wanasema ni harakati za utaftaji

    ReplyDelete
  3. kweli kuwa punda inahitaji moyo mgumu sana..lakini vijana wa mjini wanajua ndiyo utaftaji huo wakifanikisha kufikisha mzigo ni full shangwe

    ReplyDelete