Tuesday, October 15, 2013

BAADA YA KUUNGANA HATIMAYE WAKUTANA NA RAIS IKULU...

Baada ya sitofaham ya hapa na pale kutokea Bungeni kuhusiana na Muswada wa sheria ya katiba Mpya na kupelekea Baadhi ya vyama vya siasa kuungana na hatimaye kufanya Mikutano katika miji ya Dar es salaam na Zanzibar kuelezea kwao ni njisi gani ambavyo awaungi mkono baadhi ya mambo katika mchakato wa muswada wa katiba na kutaka Rais kutosaini mswada huo ili uwe sheria hatimaya Leo wameweza kukutana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Jakaya Kikwete Ikulu.

 


No comments:

Post a Comment