Tuesday, October 1, 2013

HIZI NI PICHA NDANI YA MADUKA KWENYE JENGO LA WESTGATE WAKATI WA PURUKUSHANI YA MAGAIDI WA AL SHAABAB

Hili ni Duka la simu na Computer kama unavyoona lilivyovurugika.
Kama unavyoona kila kitu kiliachwa.
Wakusahau Pochi walisahau maana ilikuwa ni hali ya taharuki.
Hapa ni uchunguzi ukiendelea kwa makini.
Huu ni mmoja wa mgahawa ndani ya westgate Mall.

No comments:

Post a Comment