Friday, November 15, 2013

JOSE MOURINHO ALIPOKUWA AKIMTAZAMA RADAMEL FALCAO AKIONYESHA VITU VYAKE.

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho siku ya jana alhamisi aliweza kusafili kutoka jijini Londan mpaka Brussls kushuhudia mechi ya kilafiki ya kimataifa kati ya Belgium ilio bna wachezaji wanaokipiga kunako Timu hiyo ya Chelsea ambao ni Kevin De Bruyne,Eden Hazard waliokuwa wakicheza na Timu ya Taifa ya Colombia yenye mkali wa kufunga Radamel Falcao kuonekana kwake katika mchezo huo ilitafsiliwa na wachambuzi wa soka kuwa ni kuangalia uwezekano wa Kumsajili mchezaji huyo raia wa Colombi Falcao katika Kipindi cha usajili mwezi wa kwanza kwani uongozi wa Chelsea umemruhusu "The Special One" kuongeza mshambuliaji mwingine kwenye Dirisha dogo la usajili katika mchezo huo Colombia ilishinda Magoli 2 kwa 0 na Falcao alifunga moja kati ya hayo mawili..Mourinho alipoulizwa mbona yupo hapa alijibu "Nimekuja kuangalia wachezaji wangu"

 


No comments:

Post a Comment