Saturday, November 16, 2013

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL URENO 1 SWEDEN 0

Mchezo wa kwanza wa mtoano kuwania tiketi ya kwenda kushiliki Fainali za kombe la Dunia nchini Brazil kati ya Timu ya Taifa ya Ureno na Timu ya taifa ya Sweden umemalizika kwamTimu ya Ureno kushinda kwa Goli 1 kwa 0 dhidi ya Sweden na sasa kusubili mchezo wa marudiano ambao ndio utahamua ninani kati ya Timu hizo atajiakikishia tiketi ya kushiliki Fainali hizo za Kombe la Dunia nchini Brazil 2014.

No comments:

Post a Comment