Wednesday, November 6, 2013

TAZAMA PICHA HIZI UNAWEZA USIAMINI UTAKACHO KIONA LAKINI WATU WANAWEZA.

Hizi ni picha zikiwaonyesha jamaa hawa wawili wakikumbatiana Mnyama huyu Ajulikanae kama Simba,Maswali hapa ni je?Hivi Mnyama huyu akibadilika gafla awe mkali kwao watafanyaje?je mamlaka husika italahumiwa kwa kuruhusu watalii hawa kucheza hivi na Lion kuna maswali mengi juu ya hii, lakini pia kwao tunasema ni Majasili sana kwani wamethubutu kukumbatiana na Simba kwa hiyo rekodi za Dunia zinaweza kuwaaorodhesha wewe je unaweza kufanya hivi hata kwa Paka wako Nyumbani au Mbwa kama unaweza tutumie Picha......


1 comment:

  1. Hao sio watalii, bali ni watu ambao wamekuwa wakiwatunza wanyama hao kwa njia moja au nyingine. Wengine wamewalea tangu wakiwa wadogo na na wengine wamewaokoa wanyama hayo kutokana na matukio mabaya yaliyo wakuta na wanawachukulia kama tu si
    wanyama hatari. Pamoja na hayo mnyama ni mnyama tu. Hivyo kutokana na hayo wanyama hao hao wakati mwingene huwa wanageuka na kuonyesha makucha yao na kuwajeruhi na hata kuwauwa na siyo mmoja tu aliyeuawa kwa njia hiyo. Mimi binafsi simshauri mtu yeyote kujaribu hilo

    ReplyDelete