Monday, December 2, 2013

JAMANI BREZIA SIO NZURI HASA ZA MTUMBA HAYA NDIO MADHARA YAKE.

Ni hivi karibuni Serikali kupitia mamlaka zake zinazohusika na Maswala haya ya nguo za mitumba ilipiga marufuku huuzwaji wa Brazia,Nguo za Ndani za mitumba kuuzwa kwa wananchi kwa sababu zinaelezwa si salama kwa asilimia mia moja,na misako mbalimbali ilifanyika kwenye maeneo maarufu kwa kuuza aina hiyo ya Nguo lakini baadhi ya wananchi ama kwa kudharau matamko yanayotolewa na Serikali pamoja na wahuzaji waliendelea kufanya biashara hiyo kwa hiyo ni wito wetu kwenu mwambia Dada,Mpenzi wako,Shangazi,Rafiki yako na mtu yeyote yule  kuwa Nguo hizi za Mtumba Brazia,Nguo za ndani hazifahi na haya ndio madhara yake ukipenda kuzitumia 

 Kama unazipenda na unaona kwako ni Bora Hakikisha kabla ujazivaa katika mwili wako Zifue vizuri tena ikiwezekana tumia maji ya moto na sabuni iliobora kwako kwa ajili ya kufulia.

Jiulize je?uko tayari kwa badae kuwa hivi

PIGA VITA UTUMIAJI HUU WA BREZIA,NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA SIO NZURI.


No comments:

Post a Comment