Saturday, January 11, 2014

BAADA YA KUKAA KATIKA HALI YA MAHUTUTI KWA MIAKA 8 SHARON AMEFARIKI.

Taarifa za hivi punde ni kwambaAliyekuwa waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon amefariki akiwa na umri wa miaka 85.Alikuwa mahututi kwa kipindi cha miaka nane tangu mwaka 2006.



No comments:

Post a Comment