![]() |
"The special one" |
![]() |
Kitu hicho watu weweeeeeeeeeeeeee!!! |
![]() |
Magoli matatu peke yake tuzo pamoja na Mpira akachukua. |
![]() |
Hawahamini kilichotokea lakini ndo mpira kuna kufungwa na kushinda na pia kutoka sale. |
![]() |
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia goli la Tatu. |
No comments:
Post a Comment