Thursday, January 16, 2014

UNAAMBIWA MZEE HUYU NDO MTU AMBAE AJAOGA KWA MIAKA 60 SASA..

Mitandao mbalimbali Duniani imeripoti habari hii ya mzee huyu Bw Amou Haji kutooga kwa mika 60 sasa na kumpelekea kutoa arufu kali sana.Yeye mwenyewe anaamini kuwa iwapo atautia mwili wake maji ya kuoga ataugua sana hivyo ndio maana taklibani yapata mika 60 sasa ajawai kuoga.


No comments:

Post a Comment