Sunday, February 9, 2014

HUYU NI MOJA YA KIJANA ALIEKAMATWA AKIJIHUSISHA NA AL SHABAAB.

Huyu ni mmoja wa watu wapatao 129 waliokamatwa huko Mombasa nchini Kenya na kufuguliwa mashitaka ya kujihusisha na kundi la kigaidi la Al  Shabaab mara baada ya Maofisa wa Usalama nchini kenya kuvamia msikti mmoja na kukuta  watoto wadogo wakifundishwa kuhusiana na kudi ilo hatari.Hapo juu akionekana akiwa na Bendera inayokusudiwa kuwa inatumiwa na kundi ilo la Al Shabaab lenye makao yake huko Somalia.

Polisi akiiondoa moja ya Bendera zilizokuwa katika msikiti huo wa Masjid Mussa huko Mombasa

Hapa wakiwa wamekamata vitu mbalimbali.

Wito wetu kwa Wazazi hakikisha unamfatilia kijana wako anapoenda iwe shule,kwenye mafundisho,Masomo ya jioni ujilizishe kuwa anakwenda sehemu sahihi kwa manufaa ya maisha yake ya badae.


No comments:

Post a Comment