Monday, February 10, 2014

MWIGULU NCHEMBA KWA TB JOSHUA NIGERIA.

Huwenda ikawa ni katika kujiimalisha kiroho zaidi na Apate mibaraka ili aweze kuwatumikia watanzania katika kazi yake mpya ya Unaibu Waziri wa Fedha jumapili ya jana Mh Mwigulu Nchemba alionekana katika ibada ya jumapili huko Nigeri kwa Mchugaji maarufu TB Joshua kama ambavyo picha zinaonekana zilizopigwa kupitia katika Emanuel Tv iliokuwa inarusha ibada hiyo moja kwa moja.

 


No comments:

Post a Comment