Friday, March 21, 2014

PICHA HII LEO IMEKUWA PICHA YA SIKU NCHINI TANZANIA.

Kwa mujibu wa Blog hii Picha hii tumeichangua kama Picha ya Siku nchini Tanaznia ukizigatiwa ni siku amabayo Wananchi wengi wanaisubili Hotuba ya Rais ya kulizindua Bunge la Katiba.Picha hii imechapishwa ukurasa wa mbele wa Magazeti Saba 7 na imesambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa kasi sana hicho ndicho kimefanya tuipe Picha Bora ya Leo.


No comments:

Post a Comment